Baada ya UNO kufanya vizuri Harmonize aachia video ya aina yake ya ‘Kushoto Kulia’ – Video

Baada ya UNO kufanya vizuri Harmonize aachia video ya aina yake ya 'Kushoto Kulia' - Video

Msanii wa muziki wa kizazi kipya ambaye alikuwa mmoja ya wasanii wanaounda lebo ya WCB na sasa akifanya muziki kama solo artist Harmonize alimaarufu Konde boy au Jeshi ameachia video ya wimbo wake mpya wa Kushoto kulia.

Audio ya wimbo huo ukifanywa na Producer Bonga na video ikifanywa na Director Hanscan.

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW