Habari

Baada ya Will Smith kumuunga mkono Obama, Paparazzi ajaribu kumla denda

Baada ya Will Smith kumuunga mkono Rais wa Marekani Barack Obama kuhusiana na ndoa za jinsia moja amejikuta akimtandika kibao mwandishi wa habari aliyekuwa anajaribu kumbusu mdomoni wakati alipokuwa akizindua filamu yake ya Men In Black 3 wiki hii nchini Urusi.

Will mwanzoni alihisi kama paparazzi huyo alikuwa na nia ya kumkumbatia lakini alipoanza kumbusu mashavuni na kujaribu kumpiga denda ilibidi amsukume na kumtandika kibao.


Anagalia video ya tukio hilo chini:
[youtube]http://www.youtube.com/watch?v=3vfMb8TMsVQ[/youtube]

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents