Burudani ya Michezo Live

Baada ya wimbo alioshirikishwa wa pepeta kufanya vizuri, Rayvanny ameachia video ya Chuchumaa – Video

Baada ya wimbo alioshirikishwa wa pepeta kufanya vizuri, Rayvanny ameachia video ya Chuchumaa - Video

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, ambaye yuko chini ya lebo kubwa ya muziki hapa Tanzania ya WCB ambayo inasimamiwa na Diamond Platnumz Rayvanny, ameachia video ya wimbo wake mpya ya Chuchumaa.

Video hiyo imefanywa na Director Kenny wa Zoom Production

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW