Burudani ya Michezo Live

Baba Diamond atoboa siri “Diamond kupokelewa na popo Kigoma, Ameseimikwa kimila ukimgusa unaparalaizi mwili mzima”- Video

Baba Diamond atoboa siri "Diamond kupokelewa na popo Kigoma, Ameseimikwa ukimgusa unaparalaizi mwili mzima"- Video

Baba mlezi wa @diamondplatnumz amefunguka na kueleza vitu vyote alivyovifanya kufanikisha tukio la @diamondplatnumz la kutumiza miaka 10 kwenye muziki wa Bongo Fleva.


Pia ameeleza kuhusu Popo walioruka Angani baada ya @diamondplatnumz kukanyaga ardhi ya KIGOMA na kusema sio kitu cha kawaida huwa wanaruka anapofika mtu mzito
@diamondplatnumz ukubwa wake sio wa kulipa watu waje wanahangilie yule ni mkubwa sana, hata mimi walinifuata vijana kuniomba hela eti waweke mafuta kwenye Pikipiki wamfuate DIAMOND, Nikawambia kama mmesikia mimi nimekuja KIGOMA na mmenifuata itawezekanaje @diamondplatnumz aje halafu msiende..? Kama mnataka kuja njooni kama hamtaki msije “

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW