Habari

Baba Levo akiwa mahakamani kwa tuhuma za kumfanyia vurugu muuguzi wa Zahanati, Christina Gervas

Msanii wa Bongo fleva na diwani wa kata ya Mwanga Kaskazini (ACT) Crayton Chipando maarufu kama Baba Levo akiwa mahakama ya hakimu mkazi Mkoa wa Kigoma.

Baba akiwa mahakamani hapo tayari kusikiliza hukumu ya kesi yake ya kushambulia, vurugu na lugha ya matusi dhidi ya muuguzi, Christina Gervas wa Zahanati ya Msufini.

Msanii huyo ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Mwanga Kaskazini kwa tiketi ya ACT Wazalendo anatuhumiwa kufanya makosa hayo matatu.

Chanzo Azam Tv.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents