Baba Levo amvaa Harmonize ‘Sipendi anavyojishindanisha na Diamond’ (Video)

Msanii wa muziki na mtangazaji wa Wasafi Fm @Babalevo amefunguka kuzungumzia kisa cha kuingia kwenye mgogoro wakutupiana maneno na msanii @harmonize kutoka lebo ya Konde Gang. Baba Levo amedai sio kweli kwamba ana mashambulia msanii huyo bali anamwambia ukweli kama kaka yake kwenye muziki.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW