Baba mzazi halali wa Patrick amchana Muna katikati ya msiba ‘mimi ni maarufu, makundi yake yamemvuruga’ (+video)

Baba halali wa mtoto Patrick, Peter amemchana live mzazi mwenzie Muna akimwambia kuwa makundi ya marafiki zake yamemvuruga ndio maana ameshindwa kujielewa hadi akashawishika kumuacha.

Mzee Peter amesema hayo leo Julai 7, 2018 katika viwanja vya Leaders kwenye shughuli ya uagaji mwili wa mtoto wake Patrick.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW