Burudani
Baba Mzazi wa Meja Kunta: Taarifa za kifo cha mtoto wangu nililetewa, kumpigia meneja wake akawa analia, nikaishiwa nguvu (Video)
Baba mzazi wa msanii wa Singeli, Menja Kunta amedai baada ya mtoto wake kuzushiwa kifo alimpigia meneja wa msanii huyo na GMaker, na meneja huyo alianza kulia kitu ambacho kimvunja nguvu zaidi. Mzee Mwarami amedai tukio lililotokea sio kiki kama watu wanavyodhani bali kuna kitu kimefanyika ambacho kila mtu asingependa kitokee.