Habari

Baba yake na Alikiba aagwa na maelfu ya watu jijini Dar Es Salaam (+ Video)

Maelfu ya watu wamiminika katika mitaa ya Kariakoo kwa ajili ya kumsindikiza baba mzazi wa msanii Alikiba ambaye amepoteza maisha.

Mzazi wa Alikiba ambaye anajulikana kwa jinala Mzee Saleh Kiba alifariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya taifa Mhimbili jijini Da Es Salaam.

Huku Msanii Alikiba na mdogo wake Abdkiba wakimuaga baba yao baada ya kuingia ndani ya kaburi kwa ajili ya kumzika mzazi wao.

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents