Aisee DSTV!
SwahiliFix

Babu Seya afunga ndoa kimya kimya na kiongozi serikalini (+picha)

Msanii mkongwe wa muziki wa dansi nchini Tanzania, Nguza Viking maarufu ‘Babu Seya’ amefunga ndoa takatifu jana Septemba 7, 2019 na aliyekuwa mchumba wake, Ambaye ni Katibu Tawala Wilaya ya Muheza (DAS), Esterine Haule.

Babu Seya na mke wake halali wamefunga ndoa hiyo katika Kanisa Katoliki la Sinza Jijini Dar Es Salaam.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW