Burudani

Babu Tale na Fella kuja na show ya TV, ‘Kalia Kiti’

Mameneja wawili wa muziki nchini, Said Fella wa TMK na Babu Tale wa Tip Top Connection, wanatarajia kuja na kipindi cha TV kiitwacho, ‘Kalia Kiti.’

Mameneja-BabuTale-na-Mkubwa-Fella

Babu Tale aliiambia 255 ya kipindi cha XXL, Clouds FM:

Tunafanya kipindi kuwaweka watu karibu na mtaa. Kitakuwa kipindi kinafanyika mtaani kueleza maisha ya wasanii. Patakuwa kuna ngoma kali tano huku kipindi kikiwa kinaruka patakuwa na story za wasanii ambao wametoka zamani. Patakuwa na watu mbalimbali wa mtaani, mtaani kuna watu wana vituko. Hadi sasa hivi tuna episode 15 na bado tunaendelea kurekodi. Baada ya mwezi wa Ramadhan kitaanza kuruka.”

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents