Burudani

Babutale ‘Rayvanny alikuwa anapanda malori kutoka Mbeya kuja Dar, alikuwa msumbufu anapiga simu kila muda, nilitaka nimblock’ – Video

Babutale afunguka kuhusu historia ya Rayvanny ' Alikuwa anapanda malori kutoka Mbeya kuja Dar, Alikuwa msumbufu sana anapiga simu kila muda, nilitaka nimblock

Meneja wa Diamond Platnumz, Babu Tale amefunguka kuhusu maisha ya msanii aliyochini ya lebo ya WCB ambaye alishawahi kufanya kazi na lebo ya muziki ya Tip Top Rayvanny, ambaye amesema kuwa Rayvanny alikuwa anamsumbua sana kipindi bado hajatoka nma alikaa miaka minne mpaka kufahamika kwenye muziki.

Akiongea katika kipindi cha block 98 kinachoruka wasafi fm Tale alisema haya:-

By Ally Juma.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents