Burudani
Baby J afunguka baada ya kujifungua mtoto ‘Nilishituka tu nina mimba, simjui baba wa mtoto’
Msanii wa muziki kutoka Visiwani Zanzibar, Baby J ambaye alijifungua mtoto wa kiume mwezi mmoja uliopita amefunguka mambo mengi kuhususiana na ugeni huo huku akishindwa kumuweka wazi baba wa mtoto wake kwa madai hamjui.