Baby Madaha kupitia ‘Nishike Mkono Ninyanyuke’ kukusanya tsh milioni 100 kwaajili ya watu wenye mahitaji (Video)

Balozi wa taasisi isiyo ya kiserikali ya Voice of Woman Organization, @babymadahamusic amefunguka kuzungumzia kampeni mpya ya ‘Nishike Mkono Ninyanyuke’ yenye lengo la kuwasaidia watu wenye mahitaji maalum zaidi ya 160 ambapo kati ya hao wajane 50, watoto yatima 60 pamoja watoto wenye ulemavu 50.

Amesema hayo Jumatano hii wakati wa uzinduzi wa kampeni hiyo katika hotel ya Sea Shells Hotel chini ya wawezeshaji Maisha ni Mwanga, Mwanga na MCL.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW