Burudani
Bado sijamaliza kusoma nitamtafuta Rihanna, muandaaji wa Miss Tz aliniboa – Jacqueline Wolper (+video)
Muigizaji wa filamu nchini Tanzania, Jacqueline Wolper amefunguka ishu ya masomo, kumvalisha Rihanna na ishu ya kumshambulia muandaaji wa Miss Tanzania 2018.