UmbeaVideos

Baghdadi ajitoa Mexicana Lacavela!!


Baghdadi kutoka kundi la Mexicana Lacavela leo ametangaza rasmi kujitoa katika kundi hilo alilolianzisha karibia miaka miwili zilizopita, alipohojiwa rapper huyu alisema kwamba ameamua kuachana na kundi hilo ili aweze kusimama na kazi zake binafsi baada ya kumpata manager atakayemsaidia kufanikisha malengo yake.

Sababu nyingine aliotaja ni kutokuelewana na wenzake katika ratiba za kikazi na wanapopanga kukutana na wenzake. Its a big move, wish you all the best bruv!

[youtube]http://www.youtube.com/watch?v=SQxBKq23vGs[/youtube]

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents