Burudani

Baghidad aachana na utangazaji

Mexicana_Baghdad
Mwanamuziki kutoka kundi la Mexicana Lacavera Praygod Kweka maarufu kama  Baghidad  au Biggie au Baba Ritta  pia  aliyekuwa presenter katika kipindi cha Klabu kumi cha Clouse Fm kilichokuwa kikirushwa kila juma mosi. ametangaza rasmi kuachana na kazi ya Presenter na kujikita zaidi kwenye muziki.



Msanii huyo alinieleza kwa ufupi kwamba hatoweza tena kuendelea na utangazaji, lakini hakusema kwanini amefanya hivyo ila aliishia kwamba kwa sasa ni msanii na wala hausiki na utangazaji. kwa mengi zaidi kama ‘ataongea basi tutawafikishia ni hayo tu……

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents