Burudani

Bahati apokea kichambo kutoka kwa mzazi mwenza

Yvette Obura ambaye ni mzazi mwenzake na msanii wa muziki wa injili nchini Kenya Bahati, amemchana muimbaji huyo pamoja na mpenzi wake mpya Diana Marua sababu ikiwa ni mtoto wake.


Bahati akiwa na mpenzi wake mpya Diana Marua

Mrembo huyo ameonekana kuumizwa na kitendo cha wawili hao kuonekana kupost katika mitandao ya picha za mtoto wake wa miaka miwili ambaye amefanikiwa kumpata pamoja na Bahati.

Akiongea na Nairobian, Yvette amesema, “Nilianza kuwa na mahusiano na Bahati kabla hajakuwa maarufu mwaka 2011 na tulidumu kwa miaka mitano. Mahusiano yalikuwa mazuri lakini tangu nilipopata ujauzito akaanza kubadilika. Hatukutarajia mtoto lakini niliamua kuweka hilo.”


Bahati akiwa na mwanae Mueni

“That was when we started to grow apart and the relationship was no longer what it was. He cheated on me. I never aborted and I was never a groupie. Last weekend Bahati picked up Mueni as usual and said they were going for lunch only for me to learn later that my daughter was trending on social media. He never sought my consent. I want his friends and girlfriend Diana Marua to stop posting my daughter’s photos. It is disrespectful,” ameongeza.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents