Burudani

Bahati na mkewe Diana Marua wapata mtoto wao wa kwanza

By  | 

Msanii wa muziki wa injili nchini Kenya, Bahati amethibitisha kupata mtoto wake wa pili wa kike.

Bahati amepata mtoto huyo na kupitia kwa mkewe Diana Marua ambaye amejifungua mapema Jumatano hii. Muimbaji huyo ameonyesha furaha yake kupitia mtandao wa Instagram na kutaja jina la mtoto wao huyo kuwa ni Heaven.


Picha ya mtoto wa Bahati na mkewe Diana Marua

“GLORY TO JESUS!!! This Morning this Girl @Diana_Marua has given me the greatest gift of Life #BouncingBabyGirl 3.24kgs ❤ Help Us Welcome @HEAVENBAHATI,” ameandika Bahati.

Mtoto huyo anakuwa wa pili kwa Bahati, baada ya wa kwanza aliyezaa na ex wake, Yvette Obura.

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Add a comment

comments