Burudani
Balaa la Alikiba Kigoma usipime, asimamisha shughuli kwa masaa kadhaa (+Video)
Haya ndio yalikuwa mapokezi ya @officialalikiba Kigoma akiongozana na wasanii mbalimbali akiwemo @billnass @marioo_tz @officialabdukibaa @tommyflavour na wengine walivyotua kwa ajili ya Show ya King is Coming home siku ya Ijumaa.
https://www.youtube.com/watch?v=KVA7A0AV_fs