Michezo

Balotelli: Simjui huyo mtu anaye itwa Jurgen Klopp

Mshambuliaji wa kimataifa wa Italia mwenye asili ya Ghana, Mario Balotelli ambaye kwa sasa anaichezea klabu ya Nice ya Ufaransa.

3908173300000578-3820876-mario_balotelli_has_six_goals_in_five_games_for_nice_and_is_clos-a-1_1475558528021

Balotell amefichua kwa kusema kwamba hakuwa na maelewaano mazuri na hapakuwa na uwezekano wowote kwake kurudi tena kucheza Anfield kutokana na uhusiano wake na Klopp.

“Klopp? Simjui mimi huyo mtu,” Balotelli aliiambia Sky Sport Italia. “Aliniambia tu niondoke Liverpool kwa mkopo na baadaye nikarejea kumwambia: ‘Asante sana, na kwaheri.’”

trgg

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents