Umbea

Balotelli wa Man City akumbwa na Soo! Faini ya Sh milioni 600!


Mario Balotelli, mchezaji wa Manchester City amejikuta kwenye maji ya moto baada ya kukiuka taratibu za club hiyo ya wachezaji kutojihusihsa na masuala yoyote ya starehe kwa kuinekana mida ya saa nane asubuhi akitoka kwenye club inayosadikika kua ya wanawake wanaocheza uchi huko Liverpool.

Baada ya mchezaji huyo kukiri matokeo hayo Uongozi wa Manchester City iliamua kumpiga fine ya Sh milioni 600, Balotelli ndiye aliyefunga goli kwenye mechi dhidi ya Bolton siku mbili baada ya tukio hilo la kukesha club.

Soo la Balotelli halikuishia hapo, demu wake amemjia juu kwa kuenda kwenye club ya wadada wanaocheza uchi. Mchezaji huyo aekubali kosa lake na kumuona mpenzi wake huyo msamaha, na ripoti zinasema mpaka jana, alikua ameshamsamehe.

Baada ya mechi ya Bolton, Manchester city ilioshinda, Balotelli amesema wanakila sababu ya kuikung’uta vijana wa Ferguson ili kubaki wabaya wa England.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents