BurudaniDiamond Platnumz

Bamboo: Diamond Platnumz sio ‘type’ ya Victoria Kimani

Kaka yake na muimbaji wa Kenya, Victoria Kimani, Bamboo amesema haoni tatizo dada yake huyo kuwa na mwanaume japo amekanusha vikali tetesi zozote za kama ana uhusiano na Diamond Platnumz.

a7912188998f11e3b5750e3183fdef5a_7

Bamboo ameuambia mtandao wa rapnairobi kuwa Diamond si aina ya wanaume wa Victoria. “I doubt that, Diamond is not her type, there was still one with Wanyama. If she’s dating a guy anaeza akidecide. She’s a grown woman. She has worked hard, people don’t know that she also featured on Nairobiz album, that’s like K-south second album so ametoka far,” alisema.

Hivi karibuni Diamond aliiambia Bongo5 kuwa Victoria ni rafiki yake tu. “Victoria mwanangu tu, rafiki yangu, anaappreciate kazi zangu na siku moja aje kufanya kazi na mimi. Ni kazi tu na sio kwasababu mimi na mwanaume na yeye ni mwanamke, na ukimwangalia ni mwanamke mzuri so wanajua tu naweza kumdate lakini sio kila siku simba anakuwa na njaa sometimes hata yeye anafunga pia.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents