Burudani

Banky W na Adesua Etomi wamalizana kiserikali

Msanii wa Nigeria, Banky Wellington maarufu kma Banky W na Adesua Etomi rasmi ni mke na mume kisheria.

Wawili hao wametambulika rasmi na serikali kuwa ni wanandoa baada ya leo (Jumatatu) kusaini hati za kisheria katika sherehe binafsi.

Siku ya jana wawili hao walifunga ndoa yao ya kimila mjini Lagos.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents