Michezo
Bao hili lampa Willian tuzo ya mwezi Januari EPL (+picha)
Kiungo machachari klabu ya Chelsea,Willian Borges da Silva ametwaa tuzo ya goli bora la mwezi Januari ligi kuu nchini Uingereza bao alilopata katika mchezo dhidi ya Brighton.
Willian raia wa Brazili alipokea pasi safi kutoka kwa Michy Batshuayi ambaye naye aliipata kutoka Eden Hazard.