Barack Obama ataja ngoma zake kali mwaka 2017
Je ni ngoma gani ambazo umezikubali katika mwkaa 2017? Rais mstaafu wa 44 wa nchini Marekani, Barack Obama amezitaja ngoma zake 21 ambazo zimefanya vizuri kwa upande wake kwa mwaka uliopita huku moja ikiwa ni bnus track.
Obama amezitaja nyimbo hizmstaafu ni pamoja na DJ Khaled, Jay-Z, Kendrick Lamar, French Montana, Beyonce, Travis Scott na wengine.
Hizi ndio ngoma zilizofanya viuzuri mwaka 2017 kwa upande wa Barack Obama.
1.Mi Gente by J Balvin & Willy William
2.Havana by Camila Cabello (feat. Young Thug)
3.Blessed by Daniel Caesar
4.The Joke by Brandi Carlile
5.First World Problems by Chance The Rapper (feat. Daniel Caesar)
6.Rise Up by Andra Day
7.Wild Thoughts by DJ Khaled (feat. Rihanna and Bryson Tiller)
8.Family Feud by Jay-Z (feat. Beyoncé)
9.Humble by Kendrick Lamar
10.La Dame et Ses Valises by Les Amazones d’Afrique (feat. Nneka)
11.Unforgettable by French Montana (feat. Swae Lee)
12.The System Only Dreams in Total Darkness by The National
13.Chanel by Frank Ocean
14.Feel It Still by Portugal. The Man
15.Butterfly Effect by Travis Scott
16.Matter of Time by Sharon Jones & the Dap-Kings
17.Little Bit by Mavis Staples
18.Millionaire by Chris Stapleton
19.Sign of the Times by Harry Styles
20.Broken Clocks by SZA
21.Ordinary Love (Extraordinary Mix) by U2
*Bonus: Born in the U.S.A. by Bruce Springsteen (not out yet, but the blues version in his Broadway show is the best!)