Burudani

Barakah The Prince akubali kumsamehe Romy Jons

Drama ya Barakah The Prince na Romy Jons inaonekana kufika mwisho. Barakah ameamua kumsamehe Dj huyo maarufu wa Diamond.

Barakah ameamua kukubali kumsamehe Romy baada ya kumuomba msamaha msanii huyo pamoja na mpenzi wake Naj leo Alhamisi kupitia mtandao wa Instagram.

Msanii huyo kupitia mtandao huo huo amesema mtu anapoomba msamaha basi anapaswa kusamehewa.

Kupitia mtandao huo ameandika, “Ni vyema sana Mtu kutambua kosa lake na kutubu..Na anapoomba Msamaha anapaswa kusamehewa..Sina noma na wewe bro,Tupige kazi man 👊👊👊👊.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents