Baraza la Wazee Chadema watoa ushauri kwa Rais Magufuli (+video)

Baraza la Wazee CHADEMA Taifa, baada ya kutaka kuonana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt John Pombe Magufuli wamemtaka aongozwe na busara za kiungozi na hekima akubali kuitikia wito wa yeye kukutana na Wazee. Tazama video hii wakitoa ushauri.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW