Habari

Barbados yatangaza kumuondoa, Malkia Elizabeth kama kiongozi

Visiwa vya Barbados vimetangaza nia yake ya kumuondoa Malkia Elizabeth kama kiongozi wa nchi hiyo na kuwa Jamuhuri.

18th February 1966:  The Queen and Prince Philip driving through Barbados waving to the crowds.  (Photo by Keystone/Getty Images)

”Muda umewadia wa kuachana na historia yetu ya kikoloni,” Serikali ya taifa hilo la kisiwa hicho cha Caribbean imesema.

Barbado ina lengo la kumaliza mchakato huo wakati wa kumbukumbu ya miaka 55 ya uhuru wake kutoka Uingereza, itakayofanyika mwezi Novemba mwaka 2021.

The Queen with governor-general of Barbados Dame Sandra Mason in 2018

Malkia alivyokutana na gavana general wa Barbados, Dame Sandra Mason katika kasiri la Buckingham mwaka 2018

Kasri la Buckingham lilisema kuwa ni suala la serikali na watu wa visiwa vya Barbados.

Malkia Elizabeth

Chanzo cha habari katika kasri la Buckingham kimesema kuwa wazo hilo ”halikuja tu ghafla” na ” limekuwa likizungumzwa hadharani mara nyingi”, Mwanahabari wa BBC Jonny Dymond alisema.

Malkia Elizabeth amtaja mrithi wake | East Africa Television

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents