Michezo

Barcelona watawala kikosi bora cha wiki, Man United, Chelsea na Bayern majanga matupu

Shirikisho la soka barani Ulaya (UEFA) limetangaza kikosi bora cha wiki hii (Machi 13-14, 2018) kwenye michuano ya klabu bingwa barani Ulaya ambapo klabu mbili kutoka Uingereza za Chelsea na Manchester United na moja kutoka Ujerumani zimefanikiwa kutoa mchezaji mmoja mmoja

Majina ya wachezaji kwenye kikosi cha wiki

Kwenye kikosi hicho Klabu ya Barcelona ndio klabu iliyotoa wachezaji wengi (4) ikifuatiwa na Roma wachezaji watatu na Bestikas mchezaji mmoja.

Kwenye kikosi hicho ambacho wanaangalia mchango wa mchezaji mmoja mmoja kwenye nafasi yake, klabu ya Bayern imefanikiwa kuingiza mchezaji mmoja ingawaje jana Machi 14, 2018 wameichabanga Beskitas goli 3-1 .

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents