Burudani

Barnaba aanzisha bendi yake ‘Barnaba Classic’

Barnaba ameanzisha bendi yake mwenyewe.

12093310_1659373864298639_925746904_n

Muimbaji huyo ameiambia Bongo5 kuwa bendi yake ilikuwepo lakini sasa itakuwa na vifaa vya kisasa.

“Nina bendi toka muda mrefu ila sasa hivi ndo naifanya official. Naanza kunua vifaa vyangu vya muziki au kama akitokea mtu akaninunulia sio mbaya pi,” amesema.

“Bendi itakuwa ni bendi tofauti zingine zote unazozijua. Mimi sitapiga kama wengine kwenye maukumbi, sitafanya hivyo. Bendi yangu itakuwa ni kwaajili ya shughuli maalum, kwenye sherehe kubwa, matukio yoyote makubwa itakuwa inafanya,” ameongeza.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents