Burudani

Barnaba asherehekea kupatikana kwa vitu vyake vilivyoibiwa

Hakika Mungu ni mwema. Baada ya wiki iliyopita Barnaba kutangaza kuibiwa baadhi ya vitu vyake vya muhimu kwenye gari lake – hatimaye amevipata.

Muimbaji huyo amethibitisha kupitia mtandao wa Instagram, kuwa amevipata baadhi ya vitu hivyo mapema asubuhi ya jana (Jumatatu). Kupitia mtandao huo, hitmaker huyo wa Lonely ameandika:

Ndani Ya bag Langu Lililoibiwa Kulikua Na Kitabu kidogo Cha chuo Kidogo Cha Sara !! Na hiki kitabu uwa nakitumia Sana Kwenye Ibada Zangu za Kila kukikucha Hasa Kwenye Sara ya Asubuhi Jiono / Usiku pia Na moja Ya ulinzi Wangu nacho kilikuwemo Umo mungu ametenda Miujiza Leo Mapema saa 2 asubuhi msamalia mwema Mmoja Kwa Jina la John Ameokota Bahasha| Ambayo Imewekwa zile documents Zangu zote Na Pasport Yangu na Tin Na zile karatasi Zangu za Viwanja Na mikataba Yangu Ya hapa Na pale Asante Sana @cloudsfmtz Na Team nzima Asante Sana mzazi @bdozen Lakini Aminini msiamini mungu Yuko Na Ukitembea Na Yesu Akuna Linaloshindikana Vitu Vingine Vimekosekana Lakini Ivi ni Vikubwa zaidi Nawashukuru wote mliopambana Na kuniombea Asante Sana Baba Paroko kwa maombi mazito Jana yametenda miujiza ????????????Jesus is My song ????Aleluya

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents