Burudani

Barnaba atamani mtoto wa kike

Barnaba anatamani kupata mtoto wa kike baada ya kuwa na mtoto wa kiume, Steve.


Barnaba akiwa na mtoto wake Steve

Muimbaji huyo na mtayarishaji wa muziki ameandika kupitia mtandao wake wa Instagram kuwa moja ya ndoto zake za mwakani ni kumuomba Mungu amsaidie apate mtoto wa kike.

Kupitia mtandao huo, Hitmaker huyo wa Lover Boy ameandika:

????‍????ndoto Yangu nyingine Mwakani kupatamtoto wa kike Mungu akijalia Kwa uwezo wake but ???? #goodmusic Kwanza GoodSound Classic ⛪️Jesus is My song

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents