Bongo5 ExclusivesUmbea

Barnaba atarajia kupata mtoto, huyo ni wa dada yake!


Kumekuwa na gumzo leo kutokana na Facebook post yenye hiyo picha ya mtoto katika ukurasa wa mtu mzima Barnaba, watu wakijiuliza kama mpenzi wake amejifungua…well tukaona bora kupata uhakika kutoka kwa wenyewe ambao wamethibitisha kuwa siyo mtoto wake but ni mtoto wa dada yake Barnaba.


Pichani ni Barnaba na mpenzi wake, ni kweli wapendanao hao wanatarijia kupata mtoto siku za karibuni na bila shaka tutawaletea habari kamili…stay tuned!

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents