Habari

Barnaba auaga mwili wa marehemu Masogange kwa namna ya kipekee (+video)

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva nchini Tanzania, Barnaba leo Aprili 22, 2018 alikuwa ni moja ya wasanii waliojitokeza kuuaga mwili wa marehemu Agness Masogange katika viwanja vya Leaders jijini Dar es salaam na aliuaga kwa kuimba wimbo wa injili wa Upendo wa kweli kutoka kwa Ambwene Mwasongwe.

Hata hivyo, Barnaba alikuwa ni msanii pekee wa Bongo Fleva kufanya hivyo ingawaje alishindwa kumaliza wimbo huo kwa kuanza kulia kwa huzuni.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents