Barnaba: Huyu ndio mpenzi wangu bora, nilianguka vibaya sana kwenye mahusiano (Video)

Msanii wa muziki @barnabaclassic amefunguka kuhusu maisha yake pamoja na ujio wa show yake kubwa ya ClassicNight ambayo imesheheni surprise za mastaa wengi. Barnaba amemzungumzia mpenzi wake wa sasa Raya Ally Sykes ambaye amedai huyo ndio mpenzi wake bora zaidi katika maisha ya mahusiano.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW