Burudani

Barnaba kumuimbisha kiswahili Fally Ipupa

barnaba
Mwanamuzki wa kizazi kipya Barnaba amesema anataraji kufanya wimbo mpya na mwanamuzki kutoka Kongo anayeishi nchini Marekani Fally Ipupa. Amesema mwanamukizi huyo ambaye ameshuka usiku wa jana, kwa show ya miaka 50 ya Uhuru, ambayo inatarajiwa kufanyika siku ya tarehe 9.


amesema mwanamuki huyo amekubali mwaliko huo wa kuimba na Barnaba kwakuwa tayari alishavutiwa na kipaji cha msanii huyo. Barnaba amesema kwamba nyimbo itaitwa kwa jina la Tuachane kwa wema, ambao wote ameutunga yeye, ana atajaribu kumshawishi mwanamuki huyo ambaye amejizolea umaarufu mkubwa Duniani, kuimba katika lugha ya kiswahili, ingawa maishaili mengine ataimba kwa lugha ya kwao.

Fally2

Fally Ipupa

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents