Burudani

Barua ya kimapenzi yamchanganya Kendall Jenner

By  | 

Moja ya mrembo kutoka familia ya Kardashian, Kendall Jenner ameomba kuwekewa ulinzi ili asitumiwe barua na mtu anayedai kumpenda.

Mrembo huyo  kwa sasa anadaiwa kutoka na rapper A$AP, ameomba kuwekewa ulinzi mara baada ya kupokea mfululizo wa barua k4utoka kwa mtu anayeitwa Thomas Hummel ambaye hudai anampenda.

Kijana huyo aliyeamua kuweka hisia zake moja kwa moja kwa Kendall Jenner anatokea California, inadaiwa tangia mwezi Febuari amekuwa akimsumbia licha ya kuwa mwezi Machi kuweka ulinzi mkali.

Baadhi ya maneno yalioandikwa katika barua hiyo ni “an internet whore, cackling your way through life.” He continued … “You look like you’ve been f***ing AHOLE Dog Sh**t in the sewer for years.”

Pia iliendela kwa kumlaumu mama yake na binti huyo kwa kudai anamlipa kijana A$AP Rocky iliatoke na binti yake, barua hiyo iliyotumwa kwa njia ya mtandao ilianza kwa kumlaumu Kendall na mama yake.

Na Laila Sued

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Add a comment

comments