Moto Hauzimwi
Shinda na SIM Account

BASATA na ukame wa Tuzo, ‘mdhamini Kili Award uchumi umembana’ (Video)

Katibu Mkuu wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), Godfrey Mngereza amesema ukame wa tuzo umetokana na kampuni nyingi za tuzo kusitisha kafanya matukio hayo kutokana na hali ya uchumi. Ngereza amesema mdhamini wa Kili Award alijitoa kutokana na sababu za kiuchumi.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW