Jiunge ufaidi miezi 2 bure!

BASATA wadai kufungia wasanii kumesababisha watishiwe kumwagiwa tindikali na kukatwa mapanga (Video)

Baraza la Sanaa Taifa (BASATA) wamesema mwaka 2019 wataendelea kupambana kwa hali na mali kuhakikisha wasanii wa muziki wanafuata taratibu kanuni na sheria za kufanya shughuliza sanaa nchini licha ya kukiri kukutana na changamoto kama za kutishiwa maisha kwa kukatwa katwa mapanga na kumwagiwa tindikali.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW