Burudani

EXCLUSIVE: BASATA wafunguka ishu ya kumfungia Diamond na Rayvanny ‘wanaimba matusi, Diamond hajalipa Mil. 9’ (+audio)

BASATA wameongea kwa mara ya kwanza baada ya taarifa yao ya kuwafungia kwa muda wasanii wawili wa muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz na Rayvanny kutotumbuiza kwenye show yoyote kwa muda usiojulikana.

Akiongea na Bongo5, Kaimu Katibu Mtendaji BASATA, Ndg. Onesmo Kayanda amesema kuwa sababu kubwa ni utovu wa nidhamu na maadili.

Amefunguka pia sababu za kufuta kibali cha tamasha la Wasafi Festival 2018.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents