Burudani

BASATA waishushia rungu kampuni ya U-Miss (Video)

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limeifungia kampuni iliyoandaa Shindano la Miss Tanzania Mbeya kwa kufanya shindano bila kufuata taratibu za BASATA zilizowekwa kisheria. Akizungumza na Bongo5 Jumatano hii, Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), Godfey Mngereza amesema kampuni hiyo imefungiwa kwa mujibu wa sheria baada ya kukiuka taratibu za BASATA.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents