Burudani

BASATA wamtaka Rayvanny na Diamond kuuondoa wimbo Mwanza mtandaoni, watishia kufungia Wasafi Festival (Video)

Baraza la Sanaa Taifa, BASATA limemtaka Rayvanny na Diamond kutufa wimbo ‘Mwanza’ mtandaoni “Tunawasiliana na mamlaka nyingine kutokana na sakata hili, lakini niseme wakijaribu kuutumia wimbo huu kwenye Wasafi Festival pamoja zile zingine zilizofungiwa tunauwezo wa kusitisha tamasha”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents