Michezo

Batshuayi katika hatua za mwisho kujiunga na Dortmund

Straika wa Chelsea, Michy Batshuayi yupo katika vipimo vya afya ndani ya klabu ya Borussia Dortmund ikiwa ni hatua za mwisho kuhamia timu hiyo na kuziba nafasi iliyoachwa wazi na Aubameyang aliyetua Arsenal.

Batshuayi ambaye ni raia wa Ubelgiji ameonekana katika klabu ya Dortmund akifanyiwa vipimo vya afya wakati nafasi yake ikichukuliwa na Olivier Giroud anayetokea Arsenal.

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents