Burudani

BBA The Chase: Feza, Oneal na Elikem waingia kwenye kikaango cha Eviction wiki hii

Habari mbaya kwa Tanzania, Feza Kessy ni miongoni mwa washiriki watatu waliopigiwa kura zaidi kutoka wiki hii.

374442_500432656704965_690117850_n

Feza ameungana na mpenzi wake Oneal na Elikem kwenye kikaango hicho cha eviction. Wa kwanza kumtaja Feza kwa kudai kuwa ni mbeya na jinsi anavyopenda kuwakusanya washiriki wenzake na kuwashawishi mi Msouth, Angelo.

Beverly wa Nigeria pia amemtaja Feza kwa madai kuwa ana upinzani mkali kwenye shindano hilo.

Elikem amewataja Oneal na Feza huku Cleo wa Zambia akimtaja Feza kwa madai kuwa ni tishio kubwa kwake na kusema wazi kuwa hataki kumuona Feza anaondoka na dola laki tatu.

Haya sasa muda wa kuanza kumpigia kura Feza Kessy asitoke ndio huu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents