Burudani

BBM Tour: Young Dee na Q Boy waacha historia Kagongwa (Video)

Msanii wa Muziki wa kuchana Young Dee aka ‘Rapa Paka’ akiwa katika mwendelezo wa show za BBM Tour, Jumanne hii amefanya show ya nguvu kata ya Kagongwa ya Halmashauri ya wilaya ya Kahama. Rapa huyo alisindikizwa na muimbaji Q Boy Msafi pamoja maonyesho ya kuendesha pikipiki.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents