Videos

Bdi-G The Future kutoka Burundi waachia video yao mpya, itazame hapa

Wasanii wa muziki kutoka nchini Burundi ambao wanaunda kundi la Bdi-G The Future, wameachia video ya ngoma yao mpya inayoitwa ‘INGO’. Video hiyo imetengenezewa nchini Afrika Kusini ambapo wanafanya kazi zao. Itazame hapa chini.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents