DStv Inogilee!

Bdi-G The Future waingia location SA kutengeneza video ya ngoma yao mpya (+Picha)

Kundi la Bdi-G The Future kutoka Burundi wamekuwa wakipambana kuhakikisha muziki wa nchini kwao unatoboa nje ya mipaka yao.

Kundi hilo ambalo linaundwa na wasanii watatu ambao wanafanya kazi zao za muziki nchini Afrika Kusini, wameingia location mjini Cape Town kwa ajili ya kutengeneza video ya ngoma yao mpya.

Kichupa hiko kinaongozwa na dierector Niga Jay wa nchini humo. Mara ya mwisho kundi hilo liliachia video ya wimbo wao uitwao ‘Uburyoheh’ mwezi August mwaka jana. Hapa chini ni picha zaidi za wasanii hao wakitengeneza video hiyo.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW