Burudani

Bebe Cool na Sauti Sol wakamilisha wimbo wao mpya

Bebe Cool ameingia studio na Sauti Sol kutengeneza wimbo wao mpya.

Muimbaji huyo wa Uganda amedaiwa kuwa amesafiri hadi nchini Kenya kwaajili ya kufanikisha wimbo huo uliopewa jina la ‘Mbozi za Malwa’ ambapo video yake pia inategemewa kuwa tayari hivi karibuni.

Kupitia mtandao wa Instagram wa kundi la Sauti Sol wamethibitisha kufanya kazi na Bebe kwa kuandika, “Squad loading heat ⚡???????????? | @bebecool_ug | #SautiSol | #MboziZaMalwa | ???? #SoonCome ???? | #Kenya ???????? | #Uganda ????????.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents