Burudani

Beca ‘Suspenda aja na We Love Becca.

6_Beka

R Kelly wa Bongo, anayejulikana kama Beca anatarajia kuachia kitu kipya kinachounguzwa pale Ngoma Record chini ya Producer Mzungu, mbaye ameamua kuonyesha machachari yake kwenye kutia vionjo vya biti hiyo.


Anasema wimbo huo utaitwa We love Bekka, yaani yeye ndiyoSuspenda, katika sauti basi kwake mmefika, ndiyo maana anajiita R Kelly wa Bongo

 

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents